Inafurahisha,kwa alie wahi kuibiwa lakini kama hujawahi kuibiwa basi lazima uhuzunike maana hujui uchungu wa kuibiwa na siku ukija kuibiwa utatamani kuwepo kwenye tukio hili .... huyu jamaaa anafahamika kwa jina la PAULO NGUSI hilo ndo jina alilo pewa na wazaziwake na facebook anatumia jina la Paul Becker Huyu jama ni mwizi kibaka,mdokozi,wa hatali ya juu !!!akipita haachi kitu. Zamani alikuwa anaishi Dar es salaam Kimala Temboni baana ya kuiba sana akakimbilia iringa Kilolo ambako inasemekana ndo aliko zariwa PAULO NGUSI maeneo ya kimala ameacha lawama baada ya kuiba piki piki kalibuni 10 na watu kuanza kuhisi kwamba anatumia uchawi maana sio kwa kuiba kule na kuto kukamatwa waswahili wasamaga jasili haachi asili paulo baada ya kwenda iringa amekaa kidogo kisha akaanza asili yake taratibu .. sasa kilicho mkuta ni kwamba amechezea kichapo cha mbwa mwizi na kutoa haja zote hapo hapo baada ya kuiba bikipiki ya wahehe hakuj...