Za mwizi 40 (PAULO NGUSI) Kijana alie zoea wizi anaswa na kuchezea kichapo huko kilolo iringa

Inafurahisha,kwa alie wahi kuibiwa lakini kama hujawahi kuibiwa basi lazima uhuzunike maana hujui uchungu wa kuibiwa na siku ukija kuibiwa utatamani kuwepo kwenye tukio hili .... 

 huyu jamaaa anafahamika kwa jina la PAULO NGUSI hilo ndo jina alilo pewa na wazaziwake na facebook anatumia jina la Paul Becker  

Huyu jama ni mwizi kibaka,mdokozi,wa hatali  ya juu !!!akipita haachi kitu. Zamani alikuwa anaishi Dar es salaam Kimala Temboni baana ya kuiba sana akakimbilia iringa Kilolo ambako inasemekana ndo aliko zariwa

PAULO NGUSI maeneo ya kimala ameacha lawama baada ya kuiba piki piki kalibuni 10 na watu kuanza kuhisi kwamba anatumia uchawi maana sio kwa kuiba kule na kuto kukamatwa

waswahili wasamaga jasili haachi asili paulo baada ya kwenda iringa amekaa kidogo kisha akaanza asili yake taratibu .. 

sasa kilicho mkuta ni kwamba amechezea kichapo cha mbwa mwizi na kutoa haja zote hapo hapo baada ya kuiba bikipiki ya wahehe hakujua kama wahehe sio watu wa mchezo mchezo kwenye mali zao 

mimi nimekuletea hapa full video ya huyu mwizi  tazama hapa chini
         

Comments

Popular posts from this blog

Mkuu wa shule ajinyonga, yadaiwa chanzo ni upweke