IFAHAMU VIZURI WILAYYA YA KILOLO IRINGA
Kilolo ni moja ya wilaya nne za mkoa wa Iringa.Inapakana na Morogoro upande wa kaskazini mashariki, kusini na wilaya ya Mufindi na magharibi ni wilaya ya Iringa vijijini. Kutokana na sensa ya mwaka 2012 ya kitaifa Tanzania, Kilolo ilikuwa na watu wapatao 205,081. Kisiasa Kwa uchaguzi wa wabunge, Tanzania imegawanywa katika majimbo ya uchaguzi. Kwa uchaguzi wa mwaka 2015 wilaya ya Kilolo ina jimbo moja tu, nalo linaitwa Kilolo. Tarafa Wilaya ya Kilolo ina jumla ya Tarafa 4, nazo ni: 1. Mazombe 2. Mtandika 3. Kilolo 4.Ukwega Kata Kwa sensa ya 2012, Wilaya ya Kilolo iligawanywa katika kata zifuatazo,ila zimeongezeka zingine sizifahamu vema, anayejua aongeze kwenye maoni nami nitaziingiza, vile vile na Tarafa. kata hizo ni: Bagamoyo Boma la ng'ombe Dabaga Idete Ilula Nyalumbu Image Irole Mahenge Mtitu Udekwa Uhambingeto Ukumbi Ukwega Ibumu Vijiji Wilaya inavijiji zaidi ya 100. Kiuchumi Wananchi wa Kilolo asilimia 90 ni wakulima wa mazao mbalimbali ambayo ...
Comments
Post a Comment