Posts

Showing posts from March, 2017

New Audio| Skosah ft Polo Sawa sawa |Download| MP3

Image
New Audio| Skosah ft Polo Sawa sawa |Download| MP3

Polisi wazingira nyumba ya Askofu Gwajima usiku

Image
Jeshi la Polisi kwa mara nyingine Jumatano hii ilizingira nyumba ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kwa kile lilichodai kuwa lilifika kufanya uangalizi Akizungumza kwa simu na gazeti la  Mtanzania  jana, Askofu Gwajima alikiri polisi hao kumfuata nyumbani kwake na hivyo kulazimika kumtafuta wakili wake mara moja. “Ni kweli walikuja wakiwa na gari la polisi, lakini walipofika nami nilimpigia mwanasheria wangu ambaye aliniambia tuwaulize wametumwa na nani na kama wana ‘search warrant’ (kibali cha kufanya upekuzi) au ‘arrest warrant’ (kibali cha kukamata),” alisema. Aidha Askofu Gwajima alisema walipowauliza, walimtaja Afande Kingai kama ndiye mtu aliyewatuma, lakini hawakuwa na kibali chochote. Kwa mujibu wa Askofu Gwajima, mwanasheria wake alifanya mawasiliano ya simu na Afande Kingai ambaye amepewa jukumu la kuwafuatilia wale wote waliotuhumiwa katika sakata la dawa za kulevya na kumuuliza sababu za kumfuata nyumbani. “Afande Kingai amemweleza...

Fahamu kuhusu Ajali ya basi la upendo iliyo tokea kijiji cha Kidabaga wilaya ya kilolo iringa

Image
wiki moja imepita baada ya ajali iliyo husiswa na basi la upendo linalo fanya safali zake kutoka iringa kwenda kijiji cha boma lang'ombe kilolo.                           leo nimekuletea habari hii kwa kina na picha kamili kuhusu ajali hiyo ambayo imejeruhi watu zaidi ya 20 na kupoteza uhai wa mtu mmoja . ajali hiyo imetokea maeneo ya kijiji cha kidabaga wilaya ya kilolo chanzo cha ajali hiyo ina semekana ni utelezi na mvuu kubwa iliyo kuwa inanyesha maeneo hayo iliyo sababisha gari kupinduka na kuacha njia.                                                    TAZAMA   PICHA HAPA CHINI                                                  BAADHI YA ABILIA WAKIWA WAME...

Amuua baba yake kwa kumcharanga na mapanga, huko Kilolo Iringa...

Image
JESHI la polisi linawasaka watu wa wawili wa kijiji cha Lyamko, kata ya  Boma la ng'ombe tarafa ya kilolo, mkoani Iringa akiwemo mtoto wa mzee,  Pacton Ngwilanga(80) kwa tuhuma za kumuua kinyama mzee huyo. Mzee huyo ameuawa kinyama kwa kucharangwa mapanga bila huruma, akiwemo mtoto wa mzee huyo anayeitwa Majuto Ngwilanga (35) na mwenzake aitwae Erick Ngwilenzi. Kamanda wa Polisi Mkoani Iringa, Ramadhani Mungi alisema tukio hilo limetokea jana, katika kijiji cha Lyamko, wilayani Kilolo. Mungi alisema mzee huyo ameuawa na vijana hao kufuatia ugomvi wa mashamba, baina yao