Fahamu kuhusu Ajali ya basi la upendo iliyo tokea kijiji cha Kidabaga wilaya ya kilolo iringa

wiki moja imepita baada ya ajali iliyo husiswa na basi la upendo linalo fanya safali zake kutoka iringa kwenda kijiji cha boma lang'ombe kilolo.

                          leo nimekuletea habari hii kwa kina na picha kamili kuhusu ajali hiyo ambayo imejeruhi watu zaidi ya 20 na kupoteza uhai wa mtu mmoja . ajali hiyo imetokea maeneo ya kijiji cha kidabaga wilaya ya kilolo chanzo cha ajali hiyo ina semekana ni utelezi na mvuu kubwa iliyo kuwa inanyesha maeneo hayo iliyo sababisha gari kupinduka na kuacha njia.

                                                   TAZAMA   PICHA HAPA CHINI
                                                 BAADHI YA ABILIA WAKIWA WAMESHUKA
                                          MWONEKANO HALISI WA AJALI ILIVYO KUWA



IMETOLEWA NA ALLEN CHUMA

Comments

Popular posts from this blog

Mkuu wa shule ajinyonga, yadaiwa chanzo ni upweke