Amuua baba yake kwa kumcharanga na mapanga, huko Kilolo Iringa...

JESHI la polisi linawasaka watu wa wawili wa kijiji cha Lyamko, kata ya  Boma la ng'ombe tarafa ya kilolo, mkoani Iringa akiwemo mtoto wa mzee,  Pacton Ngwilanga(80) kwa tuhuma za kumuua kinyama mzee huyo.
Mzee huyo ameuawa kinyama kwa kucharangwa mapanga bila huruma, akiwemo mtoto wa mzee huyo anayeitwa Majuto Ngwilanga (35) na mwenzake aitwae Erick Ngwilenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoani Iringa, Ramadhani Mungi alisema tukio hilo limetokea jana, katika kijiji cha Lyamko, wilayani Kilolo.
Mungi alisema mzee huyo ameuawa na vijana hao kufuatia ugomvi wa mashamba, baina yao

Comments

Popular posts from this blog

Mkuu wa shule ajinyonga, yadaiwa chanzo ni upweke